TUMWIMBIE MUNGU WETU: Hii ni kwaya ya Moravian Ushirika wa Lutengano-Tukuyu-Mbeya.Wimbo unaelezea jinsi ambavyo mwili hupingana na roho hata kujiangamiza wenyewe.Karibu,hii ni AMANI TV
Kweli nimeamin wakat wa Mungu n sahihi yan mm nakumbuka nimewahi sikiliza nyimbo nyingi za kinyakuyusa lakini leo wimbo huu unatrend nimefurahii sana kuona wimbo unatrend napenda sana nyimbo zetu za kinyakyusa ❤❤
Mweee bhakajaa etatata!!!.. nikisikia izi nyimbo paka nalia nakumbuka sana nyumbani pindi nikizipigaa paka najiskia raha katika kazi @ Ndaga mwee kukaja koo kwa itunge
Hongereni sana wanangu SsC hiyo ni HEKIMA NA BUSARA Mbele zake mwenyezi Mungu! Mmeenda kumsalimia Babaaenu Ofisini mwake IKULU ya Zanzibar na kuushika mkono wake wa kuume! Hakika ni BARAKA!(Biblia,Kitabu cha Zaburi 105:14-15 na Kitabu cha EZRA 10:4 In name jesus christ) May GOD be with him!
Wenye tumeletwa thru tiktok ,,,like tukisonga
Hahaha umejuaje? MC Chipolopolo amefanya nianze kuutafuta huku. Kwanza niliandika Umbile, mara umbilege.... Umweeeeh? Ndagha kyala gwangu.
Tumefika
Acha kunisema
Hatariiiiiii😂
Twasija
Mbinguni tungekua tunaenda kwa kuimba basi wanyakyusa tungeanza😂❤❤❤❤
mma si kambosyo wanyaki tunaimba 😂😂😂
😅😅😅
Kangi tukwimba fhijho
Kweli bwana mnaimba,hongereni sana
Kweli bwana mnaimba,hongereni sana 😂
Wakati wa Mungu ni sahihi, hii nyimbo Ina miaka mingi lakini inapata umaarufu kipindi hiki❤
Ni kweli
Hakika kumbe ya miaka sana nyuma
Moja ya kabila ninalolipenda jmn,mbeya the green city,sielewi lugha ila nawafurahia💃💃
Kama mm.sielewi but naenjoy.
Nikupe tafsir
Napenda kujuwa maana yake jamani nimependa sana haka kawimbo, anaejuwa tafadhali aje anifundishe kinyakusa
Ndaga fijo mkamu
I had great time in mbeya as a student, people from mbeya are so loving and caring
Kweli nimeamin wakat wa Mungu n sahihi yan mm nakumbuka nimewahi sikiliza nyimbo nyingi za kinyakuyusa lakini leo wimbo huu unatrend nimefurahii sana kuona wimbo unatrend napenda sana nyimbo zetu za kinyakyusa ❤❤
Ndio kufika huku toka TikTok....
I am a Congolese 🇨🇩 but I came to youtube a song found on tiktok😂
Ekhetangalala kya kumwanya kyenu bhatata na bhajubha bhangu. Ulwimbo ulu lukungumbusya kukaja akhabalilo kala abhapapi bhangu bhaliko kubhumi. Aluswe bhanyakyusa.
Who is here from ticktok?
Kipindi kile dunia ilikuwa haiend kas na wat walikuwa wanavaa vizr saahiz wat wanatembea uchi ndo maana mungu ameamua kije darasa kutoka lutengano
From TikTok gonga like hapa
Wapendwa Bwana Yesu atukumbuke ili tushinde Mbinguni ikawe shangwe zaidi nyimbo zenu zinatufariji mno
Ndagha mwimbile bandu bha Kyala,ndagha fiijo mukutukumbusya kukaaja.Nafurahia sana kabila langu la Kinyakyusa
Lingia lugha Yako ndaga kalumbu
Mweee bhakajaa etatata!!!.. nikisikia izi nyimbo paka nalia nakumbuka sana nyumbani pindi nikizipigaa paka najiskia raha katika kazi @ Ndaga mwee kukaja koo kwa itunge
Home boy from kyela kukaja ko khunkuyu
naloli@@EliusEmanuel-y6i
Ndaga fijo
Kyala abhasajhe mwe bhakipangu,mwe mwimbile ulwimbo lununu fijho👏👏
Mungu awabariki wanakwaya wote siku moja ntafika Lutengano tuimbe pamoja❤
Nawakubali kweli wanyakyusa natamani nipate mke kutoka mbeya.
Nipo mimi
@VickyJoseph-t9h kweli
karibu sana
Wamechangamka initia raha japo sielewi wanachoimba hongereni sana
❤❤❤ ngighanile ikinyakyusa kyitu
Mungu azidi kuwainua watumishi wa BABA yangu wa mbinguni!! Mungu awalipe sawasawa na huduma yenu nzuri!!Ameen
wanyakyusa kuimba ni zawadi waliyopewa n mungu
From eliud samweli here
Tuko wote kanifanya nije niutafute😂😂
Umbilii ugu tukogosya kangi tukugufwika
Loli umbili ugu ntula nongwa
Aisee nazikubali nyimbo zetu kama hizi, MUNGU awabariki watumishi
Kuala nnunu mwebhosighwa
Naipenda san❤❤❤ wanyakyusa🎉🎉❤
Mweeh mma bhaghwitu... Urwimbo nunuu uru.. Ndagha bha tata!!!!
Mweeee kwa kyala kununu ,,
Mungu awabariki Sana naupenda Sana huu wimbo kila siku lazima niusikilize🙏
Eloli ee mwe Kyala abhasajege fijo
I luv this song😊representing kenya
Hongereni sana wanangu SsC hiyo ni HEKIMA NA BUSARA Mbele zake mwenyezi Mungu! Mmeenda kumsalimia Babaaenu Ofisini mwake IKULU ya Zanzibar na kuushika mkono wake wa kuume! Hakika ni BARAKA!(Biblia,Kitabu cha Zaburi 105:14-15 na Kitabu cha EZRA 10:4 In name jesus christ) May GOD be with him!
Wimbo mzuri sana
nice sana song mungu awabariki
Aisee wimbo wa miaka 7 iliyopita ndo unatrend sshv
Sio mchezo 🙌🤣
Mwili huu
Ni zaidi ya miaka 7 wimbo uliimbwa miaka ya 90
Wale wameletwa na Tik tok...weka likes
Am here for the instruments🥰🫶I even have no idea what they are saying..Anyway Umbili🥳😅
Nani anaangalia 7/11/2024 ,like hapa
Eloli bha jubha na bha tata! Ndaga mwimbile!!
wimbo mzuri sana nimeupenda mbarikiwe.
Big up sisi wanyakyusa wimbo mzurii sana tuu jaman
Wimbo mzurii ,
Wimbo mzuri sana,
Mungu awabaliki watumish wamungu
Ndagha fijo mwimbile!! ❤❤
Jamani mbona mnanikumbusha mbali sana soko matora
Mma ba gwitu, umbili ughu ntulanongwa fijo. Gukutamya
Bonge la song. Hongera sana Wanyakyusa
tiktok imenileta huku, listening this with my Luhya ears🙈🤣🤣
Nan kafanya challenge na mm nkaonw😅😅
Aisee napata faraja mno nyimbo zetu
Nimekumbka nyumbani jaman nmemic nyimbo hizi
ndaghaa mwimbilee
Mimi ni mpare ila nimependa huu wimbo sana
Hongera sana watumishi wa Mungu kwa utumishi huo
nimeuerewa mungu awabariki.
❤❤❤❤asubuh njema
Ndo kwaya za kuangalia sio kutuvalia NGUO zinawachola mwili
Waoooh very good song
Yani wimbo umeniingia mpaka naona amani
Maana ya wimbo, nimeupenda
Ndagha mwimbile 🙏 🙏 🙏
Maana yake ni kwamba mwili unatudanganya kwa kuufuata kila unachotaka hapa Duniani tunasahau mambo ya Mungu
Mnanikumbusha nyumbani aisee. Hizi kwaya natamani zisife ziendelee kuimba style hiyohiyo
Mukungumbusya Lukaja
Mko visit enyakyusa
Mpo vizuri kwaya kuu lutengano
Namshukuru Mungu kuzaliwa mnyakyusa
Ndgha fijho muimbili, kyala awatule
Ndagha bha mama na bha bhabha mwimbile kanunu fijo
kazi nzuri sana hongereni sana
Mwili hauna shukurani Kila siku unahitaji tu
Mbarikiwe sana🙏🙏
umbili ughu ghukutamya❤️❤️❤️
🎤🎤🎤hadi raha yan duuu
Kweli wanyakyusa tuko juu kwa uimbaji
Ni wazee lakini sauti kama vile ni vijana.Nawakubali sana hawa watu
Akaluluuuu mwe ndaga mwimbile
Mweeeh❤
😂😂😂😂😂 Mimi apa nimeletwa na TikTok
Eeee e wa mwaisa mukuighesya kyala awasaje
Tuko hapa mr
Umbili ughuuuu mwee mweeee lunyafu fijo
2025 🎉 nipen like
Kyala abhasaje bhandu bha tata
Ndagha fijo mwe kyala abhatuleghe
Mubarikiwe watumishi
mungu awabariki
Ulwimbo lununu ndagha mwimbile
Fijooo
Lununu fijo
Lununu palimyeee! Ndagha mwimbile mweba paLutengano
Ina miaka mingap maana daaa iko poaa sana ningepata lyrics yake ningefurah sana maana ningejifunza apo japo kinyakyusa kigumu kidgo
Na Barbara kabisa Moja kwa Moja kutoka TikTok 😂😂
God bless this choir
jamani hii nyimbo tamu😅👏🥴
umbili ugwee
ndaga fijo
Aaaha kikolo ngubwene
sawa azizi
kyala abhasaje
Tamaa za mwili hatari sana
Amina,wA MAMA,NABIBI,BANGU,KOKAJA,KOMBEYA,
kyala abhasaje bhapapi bhangu
Kyala abhasajeghe mwee mulumbhilile ndagha
Umbili uguu MMA popapo loli😌
Mwee kuketa mpaka ulu 2023 Kyala atutule twesa
ata mm nimekadikia tik tok ila jina ndo limenisumbua ila nimefurahi sana ingawa sielewi
Kwakweli mma akanyembo kanunu fijo
Song zuri sana
Nawaelewa sana hawa jamaa
umbili keta ulile na kakali naloli gwigogile gwimwene
Mko vizuli Sana nyie watu